AM ZE GCR

Saturday, May 11, 2013

RUNGU LA YESU KUZINDUA ALBAMU YA VIDEO

Kwa tetesi nilizopata,rapper Rungu la Yesu  hit maker wa Bwana Yesu asifiwe na 
ngoma nyingi ambazo amezitupia mtandaoni www.reverbnation.com/rungulayesuhiphop   anatarajia  kuzindua album yake ya kwanza ya video ambayo ameipa jina la Amani ya bwana ..

                  Rungu la Yesu bado hajafunguka rasmi kwenye vyombo vya habari,ila kwa taarifa kutoka kwa watu wake wa karibu ni kwamba rapper huyo bado yupo kwenye maandalizi na hataweza kuongea chochote mpaka pale maandalizi yote yatakapotia tiki..

Ndugu msomaji wa blogi yangu naahidi kukuletea habari kuhusiana na uzinduzi
wa Rungu la Yesu kadiri ntakavopata.
pia namtakia kila la kheri  Rungu la Yesu katika hili.
holy hip hop moja!!!
116....